Swahili Articles

Kwa kuwa wateja wetu wengi ni huzungumza kiswahili tumeona ni vyema tuweka ukarasa wa kiswahili ili kulahisisha mawasiliano yetu. Hivyo, tunakukaribisha uweze kuchagua nyumba, viwanja, vyumba vya kupanga au fremu za maduka kwa njia iliyo rahisi kabisa.

Huduma zetu hutolewa kwa njia ya Video, TV,  na wavuti (website) ambapo unachagua unachokitaka kabla ya kuzungushwa kukiangalia ili kupunguza muda unaopoteza.

Tuko Sinza Kumekucha nyuma ya Deluxe Hotel. Njoo uangalie video kisha uchagua nyumba, shamba,vyumba, frem na magodauni tanzania. Au tuandikie kupitia emayage@gmail.com