- Nyumba Inauzwa Kibamba CCM
- Nyumba inauzwa maeneo ya Kibamba CCM. Ina vyumba 3, kimoja ni self contained, choo na bafu vya public na jiko. Bei maelewano. Bei maelewano.
- Nyumba Inauzwa Upanga
- Nyumba ya ghorofa inauzwa Upanga, eneo la kona, uwanja sqm 2,800, bei USD 2.8 Milioni.
- Nyumba Inauzwa Bunju 'A' Beach
- Nyumba iko km2 kutoka Bagamoyo Road, ina vyumba vitano na hati. Bei maelewano.
Wasiliana nasi kupitia 0655 500 707
No comments:
Post a Comment