Properties in Kinondoni

Nyumba hii iko Mikocheni karibu na kanisa la Mikocheni B Assemblance of God. Ni ghorofa moja yenye vyumba vitatu na Master Bed Room. Ina maji wakati wote na fance nzuri huku ikizungukwa na bustani nzuri ya maua.

Kodi ni Sh. 1,500,000 kwa mwezi.