Utakuwa umejionea jinsi sekta ya nyumba inavyokuwa ikidhihirishwa na ujenzi wa majumba mazuri jijini Dar es Salaam na mikoani.
Mashirika na makampuni kama NHC, TBA, Watumishi Housing Company, NSSF, LAPF GEPF na n.k wamejikita katika ujenzi wa majumba makubwa na kuuza kwa wananchi. Hali hii inatafasiriwa na watalaam wa real estates kuwa hapo baadaye bei za nyumba zinaweza kupungua. Hata hivyo hali inaonesha kuwa mahaitaji bado ni makubwa na nyumba zinazojengwa ni za bei kubwa kwa mwananchi wa kipato cha kawaida kuweza kuzimudu.
Hali hii inaleta sintofahamu kwa wale wenye nyumba za kupangisha za kawaida katika maeneo mbalimbali ya jiji na kwingineno wakihofia kuwa nyumba zao zitakosa wapangaji hapo baadaye. Lakini pamoja na hali ilivyo kwa sasa bado ujenzi wa nyumba za kawaida na fremu za maduka unaendelea kwa kasi ingawa katika maeneo mengine fremu bado zinakosa wapangaji.
Hatuhitaji kuacha kuendelea kujenga kuhofia kuwa nyumba zitakuwa nyingi. Haijawahi kutokea na wala haitatokea kuwa soko la nyumba likakosekana ingawa katika kiasi fulani linaweza kuyumba kama ilivyotokea Marekani na Ulaya.
Kwa wale wanaohitaji nyumba na viwanja kwa ajili ya ujenzi wasiache kututafuta ili kuwa dili nzuri. Au kwa wale wanaoendelea na ujenzi na wanataka mafundi bomba tuwasiliane kwa Dar City Plumbers
Welcome to Tanzania Real Estates blog established to help the community to acquire, sell, rent or let their properties in Tanzania. It's one stop resource centre for Tanzania properties business information.
Showing posts with label tanzania real estates. Show all posts

Tuesday, July 7, 2015
Wednesday, July 11, 2012
Madalali mmesikia hayo! Kama ni wewe uliuza viwanja hivi leo uko katika hali gani?
NI NYUMBA, KUTA ZA MABILIONI ZILIZOJENGWA UFUKWENI, MMOJA AKIMBILIA KORTINI KUZUIA JUMBA LAKE LA SH1.5 BILIONI
SERIKALI jana ilikunjua makucha yake kwa vigogo waliojenga nyumba za kifahari kando ya Mito ya Mbezi Beach, Mndumbwe na eneo la Hifadhi ya Mikoko, Dar es Salaam baada ya kuzibomoa katika operesheni iliyosimamiwa na Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) cha Jeshi la Polisi. Hiyo ni sehemu ya utekelezaji wa tamko la Makamu wa Rais la mwaka 2004 ambalo lilitaja maeneo tengefu ambayo yalipaswa kuhifadhiwa zikiwamo fukwe za bahari ambazo zina mikoko ambayo ni mazalia ya samaki baharini. Licha ya tamko hilo na sheria mbalimbali, bado maeneo ya fukwe za bahari yamekuwa yakivamiwa. Katika kusimamia sheria na tamko hilo, Wizara ya Maliasili na Utalii, Kitengo cha Hifadhi ya Misitu, Baraza la Taifa la Kuhifadhi Mazingira (NEMC) na Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, ziliamua kuratibu bomoabomoa hiyo ya nyumba za kifahari zilizojengwa maeneo tengefu ya bahari. Bomoabomoa hiyo ambayo iliendeshwa chini ya ulinzi mkali wa polisi wa FFU chini ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Charles Kenyela na kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Uzingatiaji na Utekelezaji wa NEMC, Dk Robert Ntakamulenga, jumla ya nyumba 27 kati ya hizo 15 zikiwa zimekamilika ujenzi, nane uzio (fence) na nyingine katika hatua za awali za ujenzi, zilibomolewa. Kazi ya kubomoa nyumba hizo iliyofanywa na kampuni ya Majembe Auction Mart, ilianza huku wakazi wa nyumba hizo wakiwekwa chini ya ulinzi mkali wa FFU na polisi wengine waliokuwa wamesheheni mabomu ya machozi, bunduki na gari la kumwaga maji ya kuwasha. Bomoabomoa hiyo ilianzia katika eneo la Hifadhi ya Mikoko, Mbezi Beach mnamo saa 2:00 asubuhi na watu waliokuwa wakiishi katika nyumba hizo walilazimika kutoa vitu vyao nje huku kububujikwa machozi. Mmoja wa wakazi wa eneo hilo na Mchungaji wa Kanisa la Dar es Salaam Christian, George Makala alisema kitendo hicho kinasikitisha kwa kuwa muda uliotolewa kwao ni mdogo na wasingeweza kujiandaa kuhama. Akizungumzia tukio hilo muda mfupi baada ya kubomolewa nyumba yake na kanisa hilo, Mchungaji huyo alisema kitendo hicho hakikufuata taratibu na kimesababisha hasara ya mali nyingi kwa wakazi wa eneo hilo akisema kama wangeachwa wahame zingeokolewa. “Ninasikitika sana kwani kitendo hiki hakikufuata taratibu, alikuja Waziri wa Nyumba, Ardhi na Makazi Profesa Anna Tibaijuka, Mbunge wetu, Halima Mdee na Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda wakatuambia eneo hilo siyo la hifadhi, bali ni hatarishi, sisi tuliwaambia tuna uwezo wa kukabiliana nalo ndipo waziri aliposema atatoa tamko,” alisema Mchungaji Makala na kuongeza: “Tukiwa tunasubiri tamko kutoka kwa waziri na vibali tunavyo, tumeshangaa (juzi) Jumapili tunaamka na kukutana alama za X. Hatukujua nani ameweka, leo (jana) ghafla tunashangaa tingatinga zimekuja na kubomoa.” Alisema walichofanyiwa siyo haki kwa sababu hawakupewa muda wa kujiandaa kutafuta mahali pa kuhamia lakini pia wangebomoa nyumba zao kuokoa mali zao. “Kwa sasa tutawasiliana na mwanasheria wetu kuona kama kuna uwezekano wa kuchukua hatua ili twende mahakamani, lakini hilo litategemea nini mwanasheria atatushauri,” alisema Makala. Wananchi washangilia Wakati Mchungaji Makala akielekeza kilio chake kwa waratibu wa shughuli hiyo, baadhi ya watu waliofika kushuhudia tukio hilo waliisifu Serikali wakisema sheria sasa imeanza kufanya kazi. Mmoja wa wakazi hao, Samuel Laizer alisema kilichofanywa sasa na Serikali kinaonyesha kuwa sasa inafanya kazi na hakutakuwa na mtu atakayekuwa juu ya sheria. “Tukio hilo limenifurahisha sana, tumezoea kuona Serikali ikituonea sisi maskini, lakini kitendo cha kubomoa nyumba hata za vigogo waliovunja sheria, sasa tunaamini watu wote tutakuwa sawa,” alisema Laiser. Katika eneo la Mto Mbezi Beach, kikosi hicho cha ubomoaji kilivunja kuta kadhaa zilizokuwa zimezungushwa katika viwanja saba vilivyokuwa karibu na mto huo pamoja na Mto Mndumbe inayomwaga maji katika Bahari ya Hindi. Mwanasheria wa NEMC, Manchare Heche alisema baadhi watu wanaomiliki viwanja hivyo waliendelea kujenga majumba ya kifahari licha ya zuio hilo lilitolewa zaidi ya mara tatu. Heche pia alisema bomoabomoa hiyo ilikuwa iikumbe moja ya nyumba ya kifahari katika Mto Mbezi lakini mmiliki wake ameweka pingamizi katika Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi. Kwa mujibu wa watu waliokuwa katika eneo hilo, nyumba hiyo inakadiriwa kuwa na thamani ya Sh1.5 bilioni. Akizungumzia shughuli hiyo ya jana, Kaimu Mkurugenzi Usimamizi Rasilimali na Wakala wa Huduma za Misitu, Zawadi Mbwambo alisema kazi hiyo imechelewa kutokana na kuhusisha idara, wizara na taasisi tofauti katika utendaji wake. Alisema kazi hiyo itakuwa endelevu na itawahusu watu wote waliojenga katika maeneo ya fukwe za bahari na kusisitiza kuwa umbali unaoruhusiwa kujenga nyumba kutoka eneo la bahari ni meta 60. Kwa upande wake, Dk Ntakamulenga alisema kazi hiyo ya kubomoa nyumba katika maeneo ya hifadhi za taifa, fukwe za bahari na kando ya mito ni endelevu na akatoa wito kwa watu wote waliojenga katika maeneo hayo kuchukuka tahadhari mapema kuondoa usumbufu. “Tumechelewa kuchukua hatua kutokana na zoezi hili kushirikisha mamlaka zaidi ya mmoja, tulikutana kujadili na kuona umuhimu wa kuunganisha nguvu ili utekelezaji wake usiingilie mamlaka nyingine,” alisema Dk Ntakamulenga. Alisema kazi hiyo pindi itakapomalizika katika jiji la Dar es Salaam ambako kuna viwanja zaidi ya 100, vinavyopaswa kurudishwa katika mamlaka husika, itahamia mikoani na itawahusu pia watu wote waliojenga nyumba zao kwenye hifadhi za taifa, kando ya mito na kwenye fukwe za bahari kitendo kinachosababisha uharibifu wa mazingira. Polisi Kinondoni yatoa onyo Kamanda Kenyela aliwataka watu wote waliojenga nyumba zao katika maeneo yanayokatazwa na Serikali, kuzibomoa wenyewe ili kukwepa mkono wa sheria. “Tukio la leo ni kwamba tumewasha taa, sasa watu wote waliojenga nyumba zao kinyume na sheria katika jiji la Dar es Salaam na hata wenye migogoro ya ardhi ambao Mahakama ilishatoa hukumu ni vyema wakabomoa wenyewe, watii sheria pasipo shuruti,” alisema. Habari hii imeandikwa na Geofrey Nyang’oro wa Gazeti la Mwananchi.

Sunday, April 22, 2012
What You Need to Do to Sell Your House in Tanzania Real Estate Business
We’re not supposed to judge a book by its cover, but the truth is home
buyers in Tanzania real estate business do. They almost always base their
decisions about a house based on how it looks. It’s important to make your home
look pretty good, or you’ll end up settling for a much less check at the deal closing
table.
Here are some things you can do to ensure that your home will sell for
the most money possible.
Increase Curb Appeal
If your house doesn’t look good from the street, many buyers won’t even
get out of the car. Try to look at your house from a buyer’s perspective, and
make sure you consider each of the following items before offering your house
for sale.
- Remove anything that looks messy or doesn’t need to be in the yard, like kids’ toys, tree branches, trash cans, or stray lawn furniture.
- If you have a pet, be extra vigilant in picking up after it while your house is on the market. There aren’t many things that will turn a buyer off faster than stepping in a pile of dog droppings.
- Trim all your trees and bushes neatly, weed the plant beds, and put down fresh mulch.
- Plant some inexpensive flowering annuals for a pop of color.
- Rent a power washer and spend an afternoon washing your home’s siding, gutters, doorways, and walkways.
- Take a close look at your front door and outside entry area. A fresh coat of paint and new hardware will go a long way towards making your home look fresh and inviting. When a real estate agent brings a buyer to your home, there’s always a moment spent waiting at the front door while the agent opens the lockbox and unlocks your door. Don’t let the buyers see spider webs and chipped paint while they’re waiting.
Beauty ISN’T Just Skin Deep
Presenting a well-maintained exterior is critical to getting the most
money when you sell your house in Tanzania real estate business, but you can’t
stop there. You still need to “wow” buyers after they step inside. Walk through
your house, looking at it as though you were seeing it for the first time. Consider
each of the following items to see if they need attention.
- · Attack clutter. If you don’t need it, put it away. Box up all nonessentials and store them in the garage or a storage unit. Even if your garage is stacked high with boxes, buyers understand that. They know that you’re preparing to move, and most garages look pretty much the same anyway. If the rest of your HOUSE is stacked high with personal items, that’s another matter. Many buyers will assume that your house is too small to accommodate their stuff.
- Clean like crazy. Cleaning your house doesn’t cost much, but it can dramatically increase the amount you’ll make on the sale. Wash the windows, wipe the baseboards, and dust every horizontal surface.
- Paint. Most homes would benefit from a fresh coat of paint. Take your cue from model homes: paint everything a neutral, non-offensive color.
- Rearrange. The way you’ve had your furniture arranged for years isn’t necessarily the most appealing way. Experiment to see if moving a couch or removing a chair might make a room appear more open.
- Get rid of any odors. If you smoke or have a pet, ASSUME that your house smells like it. You may not notice it, but others will—and it can cost you thousands of dollars. Clean the carpets, change air conditioning filters, and do whatever you must to eradicate all unpleasant odors.
Your goal isn’t to just make your house look nice, but to plant a seed
in the buyers’ minds. Let them imagine that if they lived in THIS house, their
lives would be better. If they bought THIS house, it would be clean all the
time, the lawn would be beautiful, and their closets would be meticulously
organized.
Of course, that’s not likely to happen in real life, but you can’t help
it if that’s what they IMAGINE, right? That’s the sort of thinking that allows
them to justify paying more for it. And that’s exactly what you want. To get
more information on how to buy a house in Tanzania real estate business contact
Hot Emi Properties locacated at Kumekucha Sinza in Dar Es Salaam.
Subscribe to:
Posts (Atom)