Tuesday, June 5, 2012

Hot Emi Properties Katika YouTube

Hii video ni wakati Salma akielezea nyumba ya kupangisha iliyoko Sinza. Unaweza ukapata nyumba kama hii au nzuri zaidi bila kuhangaika kuzunguka mji mzima na madalali wa nyumba.

Lango Kuu la Kuingilia


Nyumba hii iko Bunju. Inauzwa kwa sababu mama mwenye nyumba anataka ada za watoto wake shule. Ina vyumba sita na sebule kubwa. Inafaa kwa biashara ya kupangisha. Iko kwenye kiwanja kikubwa.

Bei yake  ni Sh.50 milioni






Ramani ya Viwanja Kigamboni.

Hii ni ramani ya viwanja huko Kigamboni. Imetoka Minispaa ya Temeke. Ni vizuri kabla hujanunua kiwanja ukajua kuwa kiwanja unachonunua hakiko eneo ambalo haliruhusiwi kujenga ili kuepuka kutapeliwa.